Peruzi bila stress.
Internet bila kikomo, hapa mtaani kwako.
Hakuna MB za kuhesabu. Chagua muda, na utumie kadri unavyotaka.
Packages zote
Kuanzia masaa machache hadi wiki nzima. Bei zote ziko kwenye page ya kununua.
Kwa simu
Chagua package, bonyeza Buy, lipia kwa mobile money. Unaunganishwa papo hapo.
Kwa wakala
Pita kwa wakala wetu, upewe code, uiweke kwenye Redeem Voucher.
Simu moja
Kila vocha ni ya device moja, ili kila mtu apate internet nzuri.
Zaidi ya simu
Unaweza kuunganisha TV au streaming device kupitia page ya WiFi Kitonga.
Inachukua chini ya dakika moja.
Chagua network wifi kitonga kwa 500.
Page inafunguka yenyewe. Kama haijafunguka, nenda wifi.wifikitonga.com.
Lipia kwa simu, au weka code ya vocha uliyonunua kwa wakala.
Sehemu moja kwa internet na pesa zako.
Mitandao yote mikubwa ya simu.
Lipia bili zako kwa haraka.
Kuweka na kutoa pesa kwa wakala wa benki.
Vodacom M-Pesa · Yas Mixx · Airtel Money · Halopesa · CRDB · NMB
Umelipia lakini hujaunganishwa? Tumia Reconnect kwenye page ya kununua kwa transaction ID yako. Bado kuna shida, tuchek WhatsApp.